Nyimbo za wokovu 154 lyrics. Tukinyong’onyea sana kwa kuwa tu peke yetu, kushirikiana kwa ndugu kunaturudisha moyo, na Mungu Nyimbo ya wokovu inayoeleza furaha ya ulimwenguni kutoka kwa Mwokozi wetu, ikihimiza imani na matumaini kwa waumini. Mateso uliyoyaona, uchungu na machozi, Usiku ule Gethsemane, Siyasahau kamwe. Katika mwamba ni raha kuu, baraka tele kutoka juu. Ninatamani nami kukaa siku zote pamoja naye Baba katika utukufu Kwangu mbinguni, kwangu, uzuri wa binguni 1. Refrain:Sijaiona nyingine siku jana imetoweka na leo mungu anazijua 1 Tu watu huru, huru kweli katika Yesu Kristo. Uliyoyaahidi na’pata kwa imani. Tukinyong’onyea sana kwa kuwa tu peke yetu, kushirikiana kwa ndugu 1 Sawa na kisima safi, chenye maji mengi, mema, ni upendo wa Mwokozi ukaao ndani yake. Heri yakini, yote ni heri, roho na moyo zimeokoka. Made possible by 1 Zamani mjini mwa Yerusalemu waisrael’ waliabudu. Roho ya mwanadamu yamfikia Mungu, huko yabisha lango na kumtafuta Baba. Yesu amelifungua lango zuri la mbinguni ili niingie humo kwa neema yake kuu. 2 1 Juu ya mbingu zote, nyota na jua pia, hapo yafika kweli maombi ya mwenye dua. Ananipa ujasiri, nguvu, raha na faraja. Hata ningelia 1 Walikombolewa waimba juu, wakisujudu mbele zake Bwana. Naamini, naamini, ninakuamini, Yesu. Mwamba uliopasuka, ndani yako nijifiche! Maji yale, damu ile itokayo mbavu zako, iwe dawa ya kuponya roho yangu na ubaya! 2. Mnyonge mimi kama yeye 1. Bwana Yesu alinirehemu, dhambi zangu alizichukua. Nguvu ‘kushinda nipate kwa nani? Kwa damu ya Yesu Mwokozi. E’ rafiki, shaka zako zipeleke Yanipasa kuwa naye, Mwokozi Bwana wangu, Akiwa karibu nami, napata nguvu kweli. Huzuni na taabu zake dunia Bwana amewaondolea zote. Nitakwenda apendapo. 2 Nimefungwa na Tuimbe haleluya! Tumshukuru Yesu! 3. 2 Nina urithi bora huko unaolindwa hata mwisho. 07M subscribers Subscribe 1 Nimefika kwake Yesu, Na rohoni mwangu sasa, jua lake la neema linang’aa kila siku. E’rafiki, shaka zako zipeleke kwake yesu! Aliyemwamini yey hataona haya kamwe. Dhahabu na fedha haziniokoi, Hazina na mali haziponyi roho, Lakini kwa damu ya Yesu mwokozi nimenunuliwa nipate uhuru. Jua litazimika siku hiyo ya mwisho, na hutasikia injili. Mfalme yu mlangoni, Ndiye aliyetufia; Mara wote wampendao atawakusanya. :/: Nitaziona raha na amani, mbinguni hazitakuwapo Mbarikiwa Cha Kutumainiwa sina NYIMBO ZA TENZI Cha kutumaini sina ila damu yake Yesu Song Meaning, Biblical Reference and Inspiration Cha Nyimbo za Wokovu (hymn in Swahili) to help people sing the hymn wherever they are by having à video of lyrics for those who don't know it. 2 Naona wewe I must have the Saviour with me. 1 Kijito kiko chenye damu itokayo Mwokozi. If you suspect this is your content, claim it here. Wanamwimbia Mwana Kondoo aliyekufa, sasa yu hai, Mwokozi wangu ni mwamba bora, ahadi kama milima; zaniletea amani tele, na mibaraka daima. « Niite kati’shida, nitakusaidia». Msalabani mnyang’anyi Alikiona hima. Yote unipayo yanivuta; Pa kukaribia nitapata; Na nielekezwe, karibu na Wewe, Karibu zaidi, Mungu wangu. Sijui atakapokuja, 2. Naamini, naamini, naamini neno lako 2. Haleluya, haleluya! Jina lake ni mnara. Pambio: Nashiba rohoni kwa raha ya Mungu, 35 1. Made possible by 1 Yesu Kristo, Bwana wangu, una amri na uwezo za kuziondoa dhambi, na ‘takasa roho yangu. Malaika waliimba, wachunga wakasikia. Pambio: Nimeokoka, nafurahi! Na Mwokozi Wetu (Our Savior) Hymn Lyrics by Papi Clever and Dorcas ft. 5M Nyimbo za wokovu Addeddate 2021-03-31 03:57:11 Philippians 1:6 Being confident of this, that he who began a good work in you will carry it on to completion until the day of Christ Jesus. Nakaa humo, ninastarehe, ni heri sana 1 Siku moja mavuno yataisha kabisa, baada ya hayo hukumu. Tazama, yupo pamoja nasi, Neema haitaisha kamwe! Haleluya, 1 Nani aweza kuniweka huru? Ni Yesu Mwokozi, Yesu Mwokozi. Merci Pianist July 29, 2023 Rain Rwanda, Swahili Gospel Lyrics Mercy Pianist, Morning Worship ep 1 Kitambo bado-vita itaisha, kitambo, na dhoruba zitapoa. Yesu ni wimbo na raha yangu, nitamsifu hata milele! Na nitamwona huko IDADI ya NYIMBO OROTHA FAHARASA NW Project Mchango & Mawasiliano Promote NW All Topics Arusi Damu ya Yesu Imani Kanisa Kazi za kikristo 50 Sitasumbuka kwa kuwa mungu ananitunza daima, anachukua mizigo yangu nyakati zote za mwendo. 4. Huwezi kuniacha mimi; napata yote kwako. Tunafurahi kujua: Pendo la Mungu ni kubwa. Kwake ninaona raha, ninataka kumsifu. Mfalme Yu Mlangoni The Coming King 1. Tuendelee, mbele, mbele, tukashinde majaribu! Twapiga vita ya imani, tuvumilie Kitambo Bado (In A Little While) Hymn Lyrics by Papi Clever and Dorcs feat Merci Pianist September 16, 2023 Rain Hymn, Rwanda, Swahili NYIMBO ZA WOKOVU - Papi Clever & Dorcas ft Merci Pianist (2023 Swahili collection) PaPi Clever & Dorcas Official 1. 1 E’ Yesu, sitausahau uchungu wako kubwa, ulipoteswa Gethsemane usiku peke yako. Roho yangu naikuimbie jinsi wewe ulivyo mkuu:/: 2 Nikitembea 1 Shamba la Mungu limeiva, litayari sasa kuvunwa. Available Formats Download as PDF, TXT or read online on Scribd Carousel 1 Bwana Mungu, nashangaa kabisa. Na tena nitalaza kichwa changu mbavuni mwake anayenipenda. Nikifikiri jinsi ulivyo Nyota ngurumo vitu vyote pia viumbwavyo kwa uwezo wako. Kuna nguvu, nguvu ya ajabu kuu, Kati’damu ya Mwokozi! July 22, 2023 Rain Hymn, Rwanda, Swahili Gospel Lyrics Ameniweka Huru Kweli, Ameniweka Huru Kweli Lyrics, Ameniweka Huru Lyrics, Indirimbo zo NYIMBO ZA WOKOVU COLLECTION (2023) - Papi Clever & Dorcas ft Merci Pianist (Swahili) NILIKWENDA MBALI SANA (SMS SKIZA 6930248) - PAPI Tutazame kule mbele, asubuhi inakuja! Tuamini Mungu wetu, atafanya kazi yake, kufukuza mashetani, kumiliki nchi yote. Tunahubiri neno lake kwa moto ‘takatifu. Naamini, naamini, ninakuamini, yesu. Haleluya, haleluya! Yesu Kristo ni Mwokozi! Haleluya, haleluya! Yesu alinikomboa. 2 Kama ndege 1 Nina uzima wa milele, na tumaini ni imara, mbinguni nitaona Yesu, Mwokozi wangu kwa furaha. Nisogee 08:22. Wakristo wa sasa wanakusanyika kuomba, kusifu Mwokozi. 272 Nani ni wa Nyimbo za Wokovu 154 E’ RAFIKI, SHAKA ZAKO ZIPELEKE KWAKE Tabernacle Chrétien de Lubumbashi 1. :/: Hutunza ndege ndogo na mimi kadhalika:/: Namshukuru Mungu ahp. Hata nikionja kufa, Yesu ni mchunga wangu. Mapambazuko Pendo la Mungu ni kubwa, pasha habari hiyo! Pendo la Mungu ni kubwa, mwanzo wa nyimbo zote. E’rafiki, shaka zako zipeleke kwake yesu! Aliyemwamini yey hataona haya kamwe. Uzima ninao moyoni daima, uzima ni Yesu Mwokozi, aliyeingia rohoni hakika, akanitilia ‘hodari. Kazi za 1 Heri mtu anayeamini Mungu Baba na Yesu Mwokozi! Heri mtu aifuataye njia nzuri ‘endayo mbinguni! Usifiwe, Yesu Kristo! U Mwokozi mzuri kabisa! Usifiwe, Yesu Kristo! Bwana, 1 Nilipofika Golgotha nikaiona huko neema kubwa kama mto, neema ya ajabu. Naamini, naamini, naamini neno lako. 2. 2 1. Naona pendo kubwa mno, latoka kwa Mwokozi wangu, ni tele kama maji mengi yatembeayo baharini. 2 Roho haitaona raha, Nyimbo shangwe, nyimbo shangwe, Nitaimba daima. 1 Naiamini damu yako na msalaba wako, Yesu, Mwokozi wangu wa pekee, napata yote kwako. Dhambi zisitumeze 07:47. :/: 2 Msalabani mnyang’anyi alikiona hima. Mawimbi ya wokovu yanatujia sasa. #PAPI_CLEVER_DORCAS #AMENIWEKA_HURU_KWELI 1. Atakusanya ngano kwa furaha ghalani, bali makapi yote yatatupwa motoni. Categories Arusi Damu ya Yesu Imani Kanisa Kazi za kikristo Kubariki Watoto Kuja kwake Yesu Kuzaliwa kwake Yesu Maombi Mateso ya Yesu Mbingu Tazama, yupo pamoja nasi, neema haitaisha kamwe ! Haleluya, haleluya, haleluya amina! Ni vema kumupenda mungu aliyetukomboa, vizuri kuwa mtu wake, sitapotea kwamwe. 07M subscribers Subscribe Nyimbo za Kristo is a platform dedicated to sharing Christian hymns and songs, aiming to inspire and uplift the hearts of believers in their 1 Yesu, unionye tena msalaba wako! Huo ni kisima safi chenye kusafisha. Nipe saa moja 08:18. Na kwa nguvu zangu 1 Maisha ya mtu [mafupi] ya hapa dunia yanaifanana safari chomboni. 2 Dhambi zote ziungame 1 Heri halisi, Yesu ni wangu! Yeye mchunga, mimi ni wake. Moyo hauogopi, wala kitikisika. Msalaba wako, Yesu, nausifu sana. Dhambi zangu na zako alizichukua, kwa damu aliniokoa. Ameniwaka huru kweli, naimba sasa: Haleluya! Kwa msalaba nimepata kutoka katika utumwa. Refrain : . Tukimngojea We Know not the Time when He Cometh 1. 2 44 1. Roho yangu inaimba, nimefunguliwa kweli. Wavunaji mfike mbio kuyavuna mavuno yake! Bwana Yesu, twakuomba, uwatume watenda kazi wakusanye miganda yote kwako Yesu, We take content rights seriously. NYIMBO ZA KRISTO 154 | YANIPASA KUWA NAYE | I MUST HAVE THE SAVIOUR WITH ME (SWAHILI) | ACAPPELA| 1 Bwana Yesu amevunja minyororo ya maovu, nimewekwa huru kweli mbali na makosa yangu. Kijito kiko chenye damu Itokayo Mwokozi, Kiwaoshacho wakosao :|: Na dhambi na uchafu :|: 2. 5 1. Mwamba uliopasuka, ndani yako nijifiche! Maji yale, damu ile itokayo mbavu zako, iwe dawa ya kupo 36 1. 2 Ni heri siku zote 1 E’ Mungu mwenye kweli, nakuamini sana, maneno yako yote milele yatadumu. Pambio: Yesu amelifungua lango zuri la mbinguni ili niingie humo kwa neema 1 Siku nyingi nilifanya dhambi, sikujua Neno la Mwokozi, sikujua maumivu yake kwa ‘jili yangu. Mwokozi wetu anatupa Furaha duniani, Atuongoza kwa neema Na anatushibisha. Tutashinda tukiomba, Mungu anatusikia. 157. Mbali nawe Yesu 08:21. Nategemea, Bwana, ahadi yako hiyo. Twapita bahari katika hatari, lakini Mwokozi anatuongoza. Namsifu Yesu kwa ajili ya msalaba. :/: Mtume 1 Yesu, ninakutolea, moyo na maisha yangu, niwe mfuasi wako, Safi na mtakatifu. 1 Yesu ni furaha yangu, amejaa pendo kweli. Ju’ ya ahadi yake napumzika sana, aliahidi mimi kupata Roho yake. Available Formats Download as PDF, TXT or read online on Scribd Carousel 1 Njoo kwa Yesu Mwokozi, unayeteswa rohoni! Damu iliyomwagika itakuosha kabisa. 2 Tarumbeta linalia, 1 Ni heri kuonga ndugu njiani pa kwenda mbingu. 3 1. Mnyonge mimi kama yeye 1 Ukae nami, giza inafika! Usiniache, Mungu nakuomba! Unayejua udhaifu wangu, nategemea wewe, ‘kae nami! 2 Maisha yangu ni mafupi sana, uzuri wa dunia utakwisha. Nakumbuka huruma zake, Mchana au usiku; Bei ya wokovu wetu: Labda sa-a ya alasiri, Nyimbo za Wokovu Topics lanisa church eglise Bukavu congo Item Size 901. 4 1. Kuna machozi, 1 Nataka kupokea baraka yake Mungu, nataka kubatizwa kwa Roho ‘takatifu. Nimefika kwake Yesu, Na rohoni mwangu sasa, jua lake la neema linang’aa kila siku. Nyuma kimeta cha nuru Naona mji wa mbingu, nyimbo za nyumba ya Baba nasikiliza daima. Na 1 Nitaogopa nini gizani duniani? Sikuachiwa peke’ mbali ya tumaini! Mwokozi yu karibu, asiyebadilika. Fanyia Mungu kazi, mbio usiku waja! Mtumikie Mungu siku zako zote! Anza mapema sana, dumu mchana kutwa! Mbio usiku waja, kazi Nyimbo Za Wokovu | Kwa maaana unastahili kuabudiwa | Nyimbo Za Wokovu 110 Nyimbo za wokovu MWAMBA ulio pasukaNyimbo za wokovu 1. li 3. 186 1. ‘Nitolee masamaha, ‘niokoe na jaribu, unilinde hata mwisho, unitwae kwako juu! 2 Mbele 1 Tutazame kule mbele, asubuhi inakuja! Tuamini Mungu wetu, atafanya kazi yake, kufukuza mashetani, kumiliki nchi yote. E’ Mungu, tunaomba: Ujaze sisi sote! Watakatifu wako watakasike sana! Tuimbe haleluya! Tumshukuru Yesu! 4. Lanitolea tumaini yakwamba nitatiwa nguvu; na niwe mhodari 40 1. Pambio: Roho yangu inaimba, nimefunguliwa kweli. radiovosa. Ikiwa Mwokozi anatuongoza twaweza kuona amani na We take content rights seriously. Furaha gani huko juu kuona uso wake! (What joy up there to see His face!) Haleluya, haleluya, haleluya, Amina! (Hallelujah, hallelujah, hallelujah, Amen!) Haleluya, Chords for Nyimbo za Wokovu 154 E’ RAFIKI, SHAKA ZAKO ZIPELEKE KWAKE Tabernacle Chrétien de Lubumbashi. :/: Mungu wangu, Mungu wangu, nitakase saa hii!:/: 2 E’ Mwokozi, nitakase, unijaze pendo lako. Ni heri kuonga ndugu njiani pa kwenda mbingu. Neema ya Golgotha ni kama bahari kubwa, ne’ma tele na ya milele, ne’ma ya kutosha! 2 Nilipofika moyo Nyimbo za wokovu Topics nyimbo Item Size 60. 5M kanisa Addeddate 2019-03-15 12:16:33 External_metadata_update 2019-04-16T08:40:56Z Identifier 143HeriHalisi Scanner NYIMBO ZA WOKOVU COLLECTION (2023) - Papi Clever & Dorcas ft Merci Pianist (Swahili) PaPi Clever & Dorcas Official 1. Anaweza kusimika kila mwenye udhaifu. Play along with guitar, ukulele, or piano 1 1. Refrain: Naamini, naamini, ninakuamini, yesu. 1 Niliye msafiri, mgeni duniani; sioni kwangu hapa, ni huko ju’ mbinguni. Yesu ameniokoa, amenipa utulivu. Tu watu huru, huru kweli katika Yesu Kristo. 2 Na katika uchungu ni heri kuamini, Nyimbo za Wokovu 154 E’ RAFIKI, SHAKA ZAKO ZIPELEKE KWAKE Tabernacle Chrétien de Lubumbashi 1. Na kila siku ya jaribu natiwa nguvu naye 1 Ninakumbuka Sayuni, nchi ya heri mbinguni, bahari kama kioo na’furahia rohoni. Tuendelee, mbele, mbele, tukashinde majaribu! Twapiga vita ya imani, tuvumilie yote! 2 Tu 1 Mwamba uliopasuka, ndani yako nijifiche! Maji yale, damu ile itokayo mbavu zako, iwe dawa ya kuponya roho yangu na ubaya! 2 Kazi za mikono yangu, haziwezi kukomboa. 2 Kwa damu 154 Nyimbo za wokovu . Sawa na kisima safi, chenye maji mengi, mema, ni upendo wa Mwokozi ukaao ndani yake. Souverain 05:58. Njoo kwa Yesu Mwokozi, naye atakuokoa! Ulimwenguni ni dhiki, kwake ni raha halisi. Kiwaoshacho wakosaji :/: Na dhambi na uchafu. Pambio: Haleluya, haleluya! Nimefika bandarini. Uhesabu mibaraka yote Mungu aliyoyakubariki! Nyimbo za Wokovu (hymn in Swahili) to help people sing the hymn wherever they are by having à video of lyrics for those who don't know it. Sitasumbuka kwa kuwa Mungu ananitunza daima, anachukua mizigo yangu nyakati zote za mwe #PAPI_CLEVER_DORCAS #Mwokozi_wetu #NYIMBO_ZA_WOKOVU #INDIRIMBO_ZO_MU_GITABO #MORNING_WORSHIP #mahirwe01 Audio Producer : Papi Clever 174. 291 Nyimbo za wokovu Mimi mwenye hatia nilikombolewa, Mwokozi alipojitoa. Furaha Mwokozi wetu anatupa furaha duniani (Our savior grants us joy here on earth) Atuongoza kwa neema na anatushibisha (Leading us and in 1 Ukichukuliwa na mashaka yako na kuona hufu kwamba utakwama, uhesabu mibaraka yake Mungu, na utashangaa kwa rehema yake. Lanitolea tumaini yakwamba nitatiwa nguvu; na niwe mhodari tena kwa pendo kubwa 1 E’ Mungu mwenye haki, uniongoze huku katika mambo yote yanayokupendeza! Nikiwa huku bila wewe, vitisho hofu na mashaka yananitia tetemeko mpaka kufa. Mawimbi ya wokovu yaliyofika kwetu, E’ Mungu, uyatume ulimwenguni 124 1. Yesu, unilinde huko hata nikuone! 2 Huko niliona kwanza ne’ma yako kubwa, 50 SITASUMBUKA kwa kuwa Mungu ananitunza daima √√ Nyimbo Za Wokovu 1. 1 Utume Roho yako juu yetu kama ulivyofanya hapo kale!:/: Uwashe moto wako ndani yetu, tusiwe watu wa uvuguvugu!:/: 2 Utume Roho yako juu yetu kama ulivyofanya siku ile. Sawa na bahari, sawa na bahari ni neema 60 1. Dhambi zote 148 Nguvu ile ilishuka ju' ya wanaf 154 E' rafiki, shaka zako zipeleke 199 Njoni wote mteswao! 204 Pendo la Mwokozi kubwa mno! 225 Lo! Bendera mbele yako. Nimekaribia Yesu, ninaimba 1 Naona pendo kubwa mno, latoka kwa Mwokozi wangu, ni tele kama maji mengi yatembeayo baharini. Msifuni, msifuni Mungu wetu, kwani ametutendea mema! Tutamsifu tu 1. 1 E’YESU mshindaji wa Golgotha √ 2 KIJITO kiko chenye damu itokayo Mwokozi √ 3 KISIMA safi sana chatoka msalaba √ 4 USIKU kabla yakuteswa √ 5 1. Ref:Dhambi zimetundikwa msalab Mwokozi Wetu Anatupa Furaha Nyimbo za Wokovu 141 Tabernacle Chrétien de Lubumbashi 1. 1 E’ rafiki, shaka zako zipeleke kwako Yesu! Aliyemwamini yeye hataona haya kamwe. E’ rafiki, shaka zako zipeleke Kwake Yesu ! Aliyemwamini Yeye hataona haya kamwe. 2 Mbona kukawa NYIMBO ZA WOKOVU 141 1 Mwokozi wetu anatupa furaha duniani, Atuongoza kwa neema na anatushibisha. unwn ywse hbveyjq zkmju lthx ztax sdmr vdvmz iehwudh nac